Search This Blog
Wednesday, 13 April 2016
Vitu vyakukumbuka uwapo na pesa
usipokuwa na malengo huwezi jizuia/MAISHA
Huwezi kuwa na nidhamu ya Muda na pesa kama huna MALENGO
JE UNAMALENGO GANI?NDANI YA MUDA GANI?MALENGO NA MUDA HUENDA SAMBAMBA SPEED YAKO YAKUFIKIA UNACHOTAKA INATEGEMEANA NA MUDA ULIO UTENGA.
KAMA UNAMALENGO NA HUJAWEKA MUDA WAKUYAFIKIA...KUA MAKINI...MUDA UNAENDA..
Kila PESA unayopata kila wiki/mwezi/siku
ANZA KWANZA NA MUNGU MPE CHAKE WALAU 10% LAZIMA
THEN 5% SADAKA NA MISAADA
HAKIKISHA 20% YA FEDHA YAKO UMEWEKA AKIBA
-walau kila mwaka au mwezi kutokana nakipato chako jitahidi kuwa kumbuka wazazi wako au walez au yoyote aliekusaidia kufika ulipo...wachungaji...Ukijenga tabia yaku wapa zawadi watu hawa nivizuri.
Then kula,kunywa,endelea na familia na maisha unahitaji
-Kwa MTU yoyote anaemwamini Mungu na nguvu ya fungu lakumi usiache kutoa na kusisitiza tena usiache wala usicheleweshe
Ugumu wa maisha wakati mwingine unachangiwa na kula fungu la kumi.
MUNGU KWANZA,UWEKEZAJI,MATUMIZI
MAFANIKIO YAKO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment